M Maharo JF-Expert Member Joined Aug 22, 2016 Posts 3,312 Reaction score 2,303 Dec 26, 2024 #1 Wasalamu Kama uzi unavyouliza yuko wapi huyu bwana sioi sumary mkwe wa marehemu lowassa maana siku hizi haonekani na wala kwenye msiba wa mkwewe sikumuona kwenye familia ya wafiwa.
Wasalamu Kama uzi unavyouliza yuko wapi huyu bwana sioi sumary mkwe wa marehemu lowassa maana siku hizi haonekani na wala kwenye msiba wa mkwewe sikumuona kwenye familia ya wafiwa.