Yuko wapi Solo Thang?

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
huyu legendary yuko wapi maana sijamsikia mwaka huu..
Jamaa anajua ile ngoma yake ya 2012 ya miss Tanzania mpaka leo naisikiliza naiona kama mpya.
Achilia mbali zile ngoma zake za zamani ile album aliyomshirikisha karibia kila nyimbo qchief.
 
Bro leo naona umeamua kuamka na ulamaa.. haya tuwekee na mambo ya pwani remix sasa twende pamoja na legendary
 
Bro leo naona umeamua kuamka na ulamaa.. haya tuwekee na mambo ya pwani remix sasa twende pamoja na legendary
Yani jana nimejikuta nasikiliza nyimbo zake huyu jamaa nikaona kweli nyimbo za zama hizi za akina mond ni takataka sema tu ni muda kila zama na kitabu chake
 
Solo thang wimbo wa miss Tanzania ameimba mafumbo matamu sana na ule ndio muziki sio mapenzi ya mond

Miss Tanzania naufananisha na wa Roma ule wa Tanzania naona wote wanaikemea serikali
Huna lolote,sema tu unapapenda pale anaposema'mtoto Ana kijungu masala'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…