elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
- Thread starter
-
- #41
Ngoja nitakutafuta, na Barozi je?Sijui bwana huyu yuko wapi..
Lakini mwezi March aliachia kibao chake kilichokwenda kwa jina la UCHU kamshirikisha Dully...kipo vyema sana.
Nyakati zimebadilika lakini wakishtua shtua mara moja vibao hawa wakongwe sio mbaya.
Balozi sifahamu habari zake aiseeNgoja nitakutafuta, na Barozi je?
solo thang anaishi ireland na yupo vizuri saaaaaana kimaisha na dollar soul au mnamwita balozi yupo marekani anaishi texas anasoma PhD now kama sikoseiBalozi sifahamu habari zake aisee
kama haumjui balozi utakuwa umezaliwa kuanzia miaka ya 2003 kaka hakuna mtu asiye mjua dollar soul katafute ngoma yake ya kwenye chatisolo thang anaishi ireland na yupo vizuri saaaaaana kimaisha na dollar soul au mnamwita balozi yupo marekani anaishi texas anasoma PhD now kama sikosei
kama haumjui balozi utakuwa umezaliwa kuanzia miaka ya 2003 kaka hakuna mtu asiye mjua dollar soul katafute ngoma yake ya kwenye chati
Ushaanza Mkuu, kwani wewe unadhani fisi tu ndiyo wakali?Jamaa acha kuzingua jukwaa una uhakika kwamba huyo msanii ni mkali?
Mbona mwana unaleta masihara
Shukran kwa kutoa taarifa zao za maisha.solo thang anaishi ireland na yupo vizuri saaaaaana kimaisha na dollar soul au mnamwita balozi yupo marekani anaishi texas anasoma PhD now kama sikosei
Mbona unaji-quote mwenyewe kamanda...kulikoni...?kama haumjui balozi utakuwa umezaliwa kuanzia miaka ya 2003 kaka hakuna mtu asiye mjua dollar soul katafute ngoma yake ya kwenye chati
Hahaaaa mkuu huyo jamaa hawez music aiseeUshaanza Mkuu, kwani wewe unadhani fisi tu ndiyo wakali?
Hata binadamu wakali pia
Kwani we mkuu unamkubari nani?Hahaaaa mkuu huyo jamaa hawez music aisee
Ukichek hata nyimbo zake nyingi hazina maana zaid ya brabra nyingi
Bora hata dudu baya mkuuKwani we mkuu unamkubari nani?
Au dudubaya?
Kweli wewe ni mtu wa gamboshi, yan solo wamringanisha na dudubaya?Bora hata dudu baya mkuu
Wengine wananirubuni eti nashindania gari..Solo Thang Ulamaa.
Jamaa ni mmoja kati ya Rappers bora zaidi kuwahi kutokea ndani ya bongo...Sikiliza verse yake kwenye "Mkasa wa boss" au tafuta verse yake kwenye "kama unataka demu".
Alisononeka sana kwenye "kilio changu" kwa kina Shigongo kumpa tuzo ya "Mkali wa rhymes" Afande sele
This is my best collaboration of da all tyme!Mtazamo...
Mkuu!!! Hyo ngoma ya solo na mpenzi ni moja ya ngoma ninayoikubali kinoma inanikubusha mbali sana hii nyimbo mashairi yake bado yanaishi moyon mwangu solo ni moja kati ya wasanii wanaotumia fasihi vzurSikiliza nyimbo inaitwa simu yangu ya Soggy dogg hunter feat Solo thang. Utajua Solo ni mtu wa aina gani. Pia sililiza Solo na mpenzi feat Mr. Paul