Sitakuumiza Kamwe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 466
- 1,457
Ni kweli nyumba yake ilipigwa kiberiti au ni stori tu za mitandaoni?Mzee alizima ghafla baada ya kupigiwa simu kuwa nyumba yake imepigwa kiberiti ndiyo maana familia yake wamemsihi apumzike na ishu za siasa
Ila CCM dah! πππAlisema nchi haiwezi kuongozwa na watu wa Facebook View attachment 3506637
Mbona niliisikia ni nyumba ya Ester bulayaMzee alizima ghafla baada ya kupigiwa simu kuwa nyumba yake imepigwa kiberiti ndiyo maana familia yake wamemsihi apumzike na ishu za siasa
Ni kweli, ndiyo siasa za chadema hizoNi kweli nyumba yake ilipigwa kiberiti au ni stori tu za mitandaoni?
Pale nyumba iliisha na kwasasa anaanza ujenzi upya. Kwa lodge ya bulaya napo palisalimiwa na pakaisha teketea kabisaKabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi.
Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na japo hawakumkuta lakini waliacha salamu. Ajabu kuanzia wakati huo hasikiki tena. Je, ni salamu zile zilimtisha au yuko busy akipanga mikakati mipya ya chama baada ya ushindi wa kihistoria wa chama chake?
View attachment 3506630
Aisee!Pale nyumba iliisha na kwasasa anaanza ujenzi upya. Kwa lodge ya bulaya napo palisalimiwa na pakaisha teketea kabisa
Kumbe bunda ilikua sio mchezoPale nyumba iliisha na kwasasa anaanza ujenzi upya. Kwa lodge ya bulaya napo palisalimiwa na pakaisha teketea kabisa
huku Dar, goba kuna kajumba kake maeneo ya Goba yafaa kumsalimia?walipita kumsalimia japo hawakumkuta πππ
Ingependeza kama salaam walizompa Mzee Wassira Gombe vijana walipopitia nyumbani kwake Bunda; mgetuonesha kwenye kapicha!Mzee alizima ghafla baada ya kupigiwa simu kuwa nyumba yake imepigwa kiberiti ndiyo maana familia yake wamemsihi apumzike na ishu za siasa
Wenyeji wa huko wanadai ya kwamba Ile amri ya kutoka nje iliwanyanyasa sana ni Moja ya maeneo ambayo amri hiyo ilitekelezwa kwa vitendoKumbe bunda ilikua sio mchezo
Siungi mkono hoja yako ya Picha, maana zime cost maisha ya wachache.Ingependeza kama salaam walizompa Mzee Wassira Gombe vijana walipopitia nyumbani kwake Bunda; mgetuonesha kwenye kapicha!