PostGE2025 Yuko Wapi Stephen Wassira - Think Tank na Strategist Mkuu wa CCM?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hatimaye amepumzika kwa lazima
 
Wassira kaishiwa vocha!
CCM ni sehemu ya wauaji wa GenZ.
Sasa atawaambia ini watu.
Strategy ya kuua wananchi itamsuta milele.
 
Kesi ilifunguliwa na mwanachama mwrnzao, ulitaka mahakama ipindishe Sheria?

Useme utakinukisha pasikalike halafu uachiwe?

Jambo jingine wakati walijaribu kuvuruga uchaguzi mo29!?..unajaribu kutetea nini wewe!?
Yule alisema atakata vichwa amefunguliwa kesi ? Vipi burhan uvccm kwa kauli yake? Vipi wakuu wa wilaya baadhi waliowahi kutoka kauli hizo!

Oh yes double standards, akitamka mtu wa ccm haguswi , nje ya hapo kesi.

Anyway turudi kwenye mada, kesi iliyofunguliwa iliwaweka bize

Mpaka leo mahakama imeishdwa ku prove kauli ya kukinukisha, mashahid wenyewe wana suasua.. ilikuwa ni valid case?

So chadema walipataje muda wa kuhudhuria maandamano wakati muda mwingi wako mahakamani?
 
Yule alisema atakata vichwa amefunguliwa kesi ? Vipi burhan uvccm kwa kauli yake? Vipi wakuu wa wilaya baadhi waliowahi kutoka kauli hizo!
Atakata vichwa vya nani?
Chama kizima kulikua mahakamani?..nrne haikuendelea mitandaoni?..heche hakukazia 'tutafanya kila kitu kuzuwia uchaguzi?..hao wacenge hawatokua na amani tena, lazima washughulikiwe
 
Hawakuendelea hata na siasa za mtandaoni. Ndio maana akina heche na viongoz wengine waliachiwa

So basicaly chadema influence yao ndogo mno, almost haikuwepo sababu ya kesi

Muulize huyo sheikh alitaka kukata vichwa vya kina nani
 
Alisema mmemsaidia atajengewa nyingine nzuri zaidi ya mliyochoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…