Yuko wapi Ustaadh Shaban Omary aliyekuwa akipatikana Chang'ombe Unubini?

Yuko wapi Ustaadh Shaban Omary aliyekuwa akipatikana Chang'ombe Unubini?

Magwangala

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
2,836
Reaction score
2,138
Naomba kujua alipo huyu nguli wa kufundisha tuition kwa somo la Kiingereza,miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa akipatikana Chang'ombe Unubini pale karibu na Mchichani,naomba mwenye kujua alipo,je bado anaendelea kufundisha tuition?

Vitabu vyake vidogo vya notes bado vinapatikana? Wapi?
 
Back
Top Bottom