Hii nyimbo ni kali sana mpaka leo, ilitisha sana wakati ule. Nakumbuka alikuja kutoa wimbo mwingine kitu kama ulikuwa unaitwa "Furaha" Clouds Fm na primetime promotions kama sikosei waliutumia sana kama jingle yao kwenye Fiesta wakati ule.
Sikumbuka hata ilikuwa mwaka gani ule sijui 2006 au 2007 hivi wasanii kibao wanaperfom shughuli inaanza saa tano / sita mchana Juma Nature wa mwisho kuperfom maana wasanii walikuwa wanaogopa akipanda anasepa na kijiji chote, na mashabiki wengine wanasepa na kusepa, heshima sana kwa Nature.. Good old days.