Sijui Enika nae yupo wapi daah, Rah p nae sijui wapo wapiV2 alikuwa dada mmoja mjanja sana, alikuwa mbele ya muda kabisa. Huyu na Enika ndiyo naona walikuwa wajanja wa ukweli.
Kwamba mwamba hujamwelewa!π...mie nimemwelewa.".hug_ger_boy"...Duhwatu mna test tofauti sana hapa duniani wacha nami nijifunze kupuliza bange labda nitakuja kuwa na taste ya kipekee.
MombasaAisee hivi alikuwa .mbongo yule.
Hivi enika ni mzima?sio ashafariki? Au ndo kakake alofariki producer!Sijui Enika nae yupo wapi daah, Rah p nae sijui wapo wapi
Mbona kawa kama drug addict π¨Show showπ€£π
Dah...inawezekana.Mbona kawa kama drug addict π¨
Umri kusogea hauendani na mwili kuporomokaDah...inawezekana.
Mie naona kawa mtu mzima
Mara ya mwisho nilimuona anasakata dance ma boy from Msoga pale Mlimani CityWimbo ulivuma kitambo nimemkumbuka huyu dada leo.
Natokea Sudan piaYuko kenya happo na sudan..mumewe msudan..mtamu balaa mumeweπ€
Kaka ake ndio alifariki ndio alikuwa anamsimamia kimuziki alipofariki na kipaji Cha Enika kikapotea mpk leoHivi enika ni mzima?sio ashafariki? Au ndo kakake alofariki producer!
Mad ice Ile ngoma ilikua kaliii2003 nadhani ndio ulitoka, enzi hizo tunavizia channel 10 mida ya saa tatu usiku mshua akimaliza kucheku taarifa ya habari, nilitokea kuupenda wimbo huu na wa mad ice baby gal.
kaka ake alikua producer anaitwa royHivi enika ni mzima?sio ashafariki? Au ndo kakake alofariki producer!
Ule mwimbo wa baridi kama hii hatari na nusu.Kaka ake ndio alifariki ndio alikuwa anamsimamia kimuziki alipofariki na kipaji Cha Enika kikapotea mpk leo
Ule wimbo balaa aisee alikuwa na saut tamu sana huyu bint kipaji kimepoteaUle mwimbo wa baridi kama hii hatari na nusu.
Nilisahau jina la kaka yake enzi hizo Mimi nyimbo naziona katika magazeti ya shigongo, sijui hata kama Kuna maisha magumu[emoji23]kaka ake alikua producer anaitwa roy
Nimecheka....!Nilisahau jina la kaka yake enzi hizo Mimi nyimbo naziona katika magazeti ya shigongo, sijui hata kama Kuna maisha magumu[emoji23]
Mno...ulikua wa mbele sanaUle mwimbo wa baridi kama hii hatari na nusu.
Ni PMMno...ulikua wa mbele sana
Ameen. Kwenye hio nyimbo kuna kaka hapo wa kizanzibar anaitwa Ahmada. Hujawahi kuskia skendo zake?πππππππ kumbe ameshatangulia mbele ya haki may her soul rest in peace.
Yawezekana uvumi. Baada ya kupotea ghafla bin vuu. Ba watu walisema alikufa kwa ngoma. Kama bado yupo ni vyema, Mungu Amuongezee umri mrefuIla waja...hata leo hii kampost mumewe na yeye mwenyewe mbona insta?View attachment 2717492βΈ