Yuko wapi V2 aliyeimba Nasonga mbele?

Kuna kipindi wanamuziki wa Kenya walikuwa wanasikilizwa sana Tanzania. Wakina V2, Nonini, Nyota Ndogo, Wire, Nazizi, Nameless etc. Lakini sasa muziki wa Kenya sijui umepatwa na nini!
 
Hata mziki wao ulikua mzuri sana kipindi kile, nowdays wameshuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…