Yuko wapi wa kuvaa viatu vya Ruge?

Katikaa hili andiko mkuu umezunguka sana. Lengo lako hapa lilikua ni dai. Hakuna lingine. Ulitaka kumsafisha ukisahau na yeye alimtuhumu na kumdhalilisha sana ruge hata akiwa kwenye jeneza.

Ruge will always stand tall.
Mbona dai anashuka sasa?

Harmo hajatukana mtu. Na ametafuta sana amani ila ikakosekanika. Jamaa yako hajajibu kwasababu anajua dogo ana mengi zaidi yatamuharibia si kwamba amedharau. Aache kumfatilia dogo aendelee na mambo yake

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hili la kusema anashuka nilishakukataza. Mtu aliyeshuka anafanana na diamond kweli?
 
Asante..!
 
Reactions: Qwy
'Fair Competition" is a myth.Hai exist kokote ulimwenguni.Actually hakuna kitu kama fairness kwenye eneo lolote kama utaweka kichwa yako vema na kufikiri,so usiitegemee kwenye maeneo yanayohusu hela HATA IWEJE!
 
Hili la kusema anashuka nilishakukataza. Mtu aliyeshuka anafanana na diamond kweli?

Dimond hawezi kushuka ni level moja na burnaboy na wizkid, dimond anaweza kuijaza 02 arena ya london siku tatu mfululizo mbona hata show za marekani dimond watu walikua wanakosa hata pakutema mate au haukuona mkuu show ya dimond ilivotikisa marekani
 
bado hujajenga hoja mkuu ni utoto tu unajaribu kuongea. Ulitakiwa kusema hivyo endapo angekuwa alishawahi kufanya hivyo na sasa hawezi tena. Lakini bado huko hajafika na ndiyo kitu anapambania sasa.
 
kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…