johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Huyo ndio Giriki bwashee!mwaka 1995 nilikosea nikapanda tawaqal mbeya dar,kwanza ile asubuhi pale stand aliletwa na teksi halafu wakambeba kutoka kwenye teksi mpaka kwenye usukani,kwa kweli sikufurahia safari manake huo mwendo ni Mungu anajua,tulifika Dar saa tisa mchana
Kwa umri wake sasa hivi ,NIT au VETA,wampe mafunzo maalum yavkufundisha madereva,maana ndo mmojawapo wa madereva wazoefu wa manual gia.Wazo tuu!Huyo ndio Giriki bwashee!
😆😆😆Mara ya mwisho nilipanda basi la Tawaqal nikitokea mkoani Ruvuma lakini kwa sasa ni muda mrefu Tawaqal zimeachana na route hiyo.
Nauliza Wahenga wale wa " Watu wa safari" huyu nguli wa barabarani dereva Giriki yuko wapi siku hizi?
Kazi Iendelee
cc: Bujibuji
Alikuwa ana disconnect waya wa TAA za brake ukimfuata nyuma kwa kumtegemea TAA zake unapoteaMkuu tutapata majibu hapahapa!
Makete bus Njombe - Dsm mkatisha tiketi alikuwa mbunge Jah people!Dodoma -mbeya kuna basi lilikuwa linaitwa URAFIKI huyu mh simbachawene alikuwa kondakta wa hilo basi balaa lake sio poa nakumbuka lilituacha comfort tukapanda matema mabichi ngoma imefukuzwa tumeikuta mbeya imetulia [emoji1430]
Na sisi wa Sharuk's bus, Dar Oyee, nk kutoka Ifakara kwenda Dar! Basi linaondoka Ifakara saa 12 jioni kuelekea Dar!Daaah. Na sisi wa enzi za Kiswele na Comfort tujikumbushege basi
Kuna ile iliitwa Navalonge Swela Dar - IringaNa sisi wa Sharuk's bus, Dar Oyee, nk kutoka Ifakara kwenda Dar! Basi linaondoka Ifakara saa 12 jioni kuelekea Dar!
Kuna Satelite bus, Shengena, Zafanana, Fresh ya Shamba, Simba Mtoto, Zamoyoni, Dar Tanga, Dar Gonja, Dar Lushoto, Dar Arusha!! Dar unaingia saa 10/11 alfajiri!! Na hakuna cha ajali wala ujambazi!
Enzi za Mzee wa Ruksa!
Tumetoka mbali enzi hzo ukienda mbeyaKuna ile iliitwa Navalonge Swela Dar - Iringa
Tulitoka Iringa saa 1:30 usiku tukaingia Dar kule Shimoni sokoni Kariakoo saa 9:17 alfajili.
Enzi zile ngoma zilikuwa zinateleza bwashee.... Hii Navalonge Swela ilikuwa ni Leyland Victory inapanda Kitonga kama Scania!
Kabisa bwashee!Tumetoka mbali enzi hzo ukienda mbeya
Ukitoka leo unafika kesho...
Kweli hatua imepigwa
Watoto wadogo hawawezi elewa hii
Ova
Ndo waziricwako huyo leo wa ndani!Dodoma -mbeya kuna basi lilikuwa linaitwa URAFIKI huyu mh simbachawene alikuwa kondakta wa hilo basi balaa lake sio poa nakumbuka lilituacha comfort tukapanda matema mabichi ngoma imefukuzwa tumeikuta mbeya imetulia [emoji1430]
Hahahaaaa....... Watu wametoka mbali bwashee!Ndo waziricwako huyo leo wa ndani!
Ukonda watu wengi wamepitiaHahahaaaa....... Watu wametoka mbali bwashee!
Sharuks : Abbas Gulamali Mhindi wa Ifakara .Na sisi wa Sharuk's bus, Dar Oyee, nk kutoka Ifakara kwenda Dar! Basi linaondoka Ifakara saa 12 jioni kuelekea Dar!
Kuna Satelite bus, Shengena, Zafanana, Fresh ya Shamba, Simba Mtoto, Zamoyoni, Dar Tanga, Dar Gonja, Dar Lushoto, Dar Arusha!! Dar unaingia saa 10/11 alfajiri!! Na hakuna cha ajali wala ujambazi!
Enzi za Mzee wa Ruksa!
Kumbe wewe ndiye Lizaboni wa Songea Wangoni kwa ccm.Hahahaaaa.......Giriki alikuwa siyo mchezo bwashee!
Nilipanda kimeo ,kutoka Kisutu kuelekea Arusha , kampuni ya mabasi ya Imamu .Tumetoka mbali enzi hzo ukienda mbeya
Ukitoka leo unafika kesho...
Kweli hatua imepigwa
Watoto wadogo hawawezi elewa hii
Ova