Yupo Mombasa KenyaHuyu dogo aaliyesumbua kwenye bongo movie mwishoni mwa miaka ya 2000 yupo wapi sasa maana hasikiki tena
Mwishoni mwa miaka ya 2000??
Jamaa mkorogo umedunda siku hizi kachakaa uso kinoma..Yuko Azam two kuna tamthilia kila siku saa moja na nusu usiku
yuko na wakenya ..ila naona wakenya wanamfunika vibaya
Jamaa mkorogo umedunda siku hizi kachakaa uso kinoma..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu shida za dunia hizi, ila huenda huu ni mwaka 3017.
Mwishoni mwa miaka ya 2000 bado haujafika mkuu.Huyu dogo aaliyesumbua kwenye bongo movie mwishoni mwa miaka ya 2000 yupo wapi sasa maana hasikiki tena
Wanamfunika sana..Yuko Azam two kuna tamthilia kila siku saa moja na nusu usiku
yuko na wakenya ..ila naona wakenya wanamfunika vibaya
Kaolewa...?Yupo Mombasa Kenya
Ameshakua Mambo ya kupaka poda yashapita mda wake.Jamaa mkorogo umedunda siku hizi kachakaa uso kinoma..
yupo chimbo la mabahariaHuyu dogo aaliyesumbua kwenye bongo movie mwishoni mwa miaka ya 2000 yupo wapi sasa maana hasikiki tena