wamisako JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 917 Reaction score 871 Feb 20, 2016 #1 Ujumbe unajieleza apo juu huyu jamaa nazani kila mmoja anamkumbka huyu jamqa enzi zile hakna live kwenye tv. Simba vs yanga. Ila kwa sasa na mda mrefu simsikii mwenye uwezo wa kufaham alipo na anajihusisha na nini kwa sasa
Ujumbe unajieleza apo juu huyu jamaa nazani kila mmoja anamkumbka huyu jamqa enzi zile hakna live kwenye tv. Simba vs yanga. Ila kwa sasa na mda mrefu simsikii mwenye uwezo wa kufaham alipo na anajihusisha na nini kwa sasa
wamisako JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 917 Reaction score 871 Feb 20, 2016 Thread starter #2 Daaa R. I. P
Ngalangala JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 328 Reaction score 130 Feb 20, 2016 #3 Tena alifia mwananyamala na kaenda kuzikwa kwao Kateshi
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Feb 20, 2016 #4 Alivamia Jiji kisha akalewa umaarufu,all in all R.I.P