Yule aliyekataliwa Januari kurudi tena kivingine

username1

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
267
Reaction score
253
Iko hivi yule kaka mchuuzi wa kisiasa ndiye yupo nyuma ya vijana wa meza kuu yake.

Wameenda upande wa pili wanapima upepo lakini mpango ni kaka yao aje pindi mambo yamechangamka adai ni wananchi wameniomba.

Hakuna kitu ni ulaghai tu na biashara ya kisiasa.
 
Aende anapoenda ila ajue hatma ya watanzania ipo kwa watanzania wenyewe na si wanasiasa.
 
Aliwaambia Msibadilishe Generali katikati ya vita 🐼
 
Watashindana lakini hawatashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…