Yule bwana (mtekwaji) angekuwa anafuata ushauri wa Prof Janabi tungekuwa tushamsahau

Yule bwana (mtekwaji) angekuwa anafuata ushauri wa Prof Janabi tungekuwa tushamsahau

Kiuhalisia sababu ya Hata kukithiri ni ile sheria iliyotungwa inayo wapa nguvu hao tis kutenda jinai wakiwa kazini bila kishtakiwa na ofisi kuwa directly chini ya raisi. no wonder licha ya kuonekana kwenye kamera Hakuna atakaye kamatwa.
 
.
1731505074277.jpg
 
Yaani tukio la mtu mmoja kunusurika na mambo ya kutekwa ndio liwafanye watu wote waukumbatie uzito uliopitiliza? Huyo mmoja amenusurika, ok. Ni wangapi wanakufa na magonjwa yasiyoambukiza yakichangiwa kiasi kikubwa na uzito uliopitliza?
 
Back
Top Bottom