love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Ndio amesema hivyo?Ila kashapigwa sindano ndio maana walimuacha
DuuhNdio amesema hivyo?
Kapigwa sindano ndio maana wamemuacha walitaka wakuwahishe akanywe dawa zake wale madaktari na manesi wa zamu ulikua hujui?Ndio amesema hivyo?
Jitaidi kula sanaNmecheka sana😅😅😅
Ndio nini hiki sasa hapo IT atafanya nini?
wewe ulivyo kimbau nakumudu hata mimi! we cheka tu usiku nipo nawewe kikubwa usipige zogo tu!Nmecheka sana😅😅😅
Labda lakini angalau anaweza kufika hospital kwa Masada zaidi kuliko kufia porini ndugu hawajui hata mwili wakeIla kashapigwa sindano ndio maana walimuacha
Mapema sanaIsingekua hvo angekua kaliwa kichwa .
Wale madaktari walipoona mgonjwa mbishi sana wakamdungaLabda lakini angalau anaweza kufika hospital kwa Masada zaidi kuliko kufia porini ndugu hawajui hata mwili wake
Kama ni kimnao mbao angesukumwa Mara mojawewe ulivyo kimbau nakumudu hata mimi! we cheka tu usiku nipo nawewe kikubwa usipige zogo tu!
Kwa kweli inatisha
Hayo maviatu huvaliwa zaidi na mbwa wa serikali