yule chizicomputer kwa mambo ya technology utampata kama una shida kujua kipaji njoo

Aisee

Sasa unatangaza kitu wakati hujawa tayari. Ukiwa tayari usishangae hutapata response sababu watu wataotembelea blog yako leo hii 28 Nov hawataka kutembea tena. Why?

Ni kichekesho kutangaza unauza gari huku umelipiga picha likiwa juu ya mawe?

tafakari.
 
kama unataka kupata maujanja chizicomputer :chizicomputer.blogspot.com

Uko sirias kweli? Tehe. Halafu lengo lako ni maujanja ya ICT tu au na porn kidogoo?



Fanya kazi kwanza, take your time. Halafu marafiki zako watajua tu unayo-blog, apo ndo ujiko utakapoanza!!! Buhahahah
 
Nika click close button :lol:
 
kama unataka kupata maujanja chizicomputer :chizicomputer.blogspot.com

@edjizzo, malizia kudesign hiyo blog bwana. Nakushauri ondoa hiyo Warning ya kuingia. Alafu mbona homepage yako , content inaanza Katikati ya page badala ya kuanza Juu. Ndio maana page inaonekana blank.

Hata Michuzi ana blogu nzuri zaidi yako alafu fani yake ni kupiga picha.....mbona wewe inakupiga chenga ?!?!
 
KAMA UANKIPAJI NA HUWEZO WA KOMPUTER AU SHIDA BINAFSI HAPA NDIO SULUTION WELCOME
Aupo makini naunachokifanya jipange kwanza then tangaza hapo kwenye red karekebishe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…