Yule contractor aliyeuliwa na Hezbollah ubalozi wa Marekani Baghdad alikuwa Muiraq raia wa Marekani

Yule contractor aliyeuliwa na Hezbollah ubalozi wa Marekani Baghdad alikuwa Muiraq raia wa Marekani

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuqa wanajamvi!

Yule contractor aliyeuwawa na waandamanaji na vikundi uchwara vya kigaidi vyenye vimelea na Hezbollah na Iran katika ubalozi wa Marekani Baghdad na ambaye kifo chake kinaweza sababisha WW3. nchini Iraq alikuwa Mmarekani Muiraq ambaye alipata uraia wa Marekani mwaka wa 2017.

Ikumbukwe kifo chake Nawaz Waleed Hamid 33, kilimuuma sana Trump hadi akachukua uamuzi wa kijasiri kwa kumdondoshea vitu vizito vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka paaah na kuacha devastating impact na kumlambisha mchanga Braza Qassim Solemani.

Ironically huyo contractor alikuwa Muislam kutoka madhehebu ya Shia ambaye Trump ilimuuma akamlipizia kisasi. Kaacha mjane na watoto ambaye anasema bado haamini mumewe kauwawa.

Contractor kazikwa katika makaburi ya Waislam California.
23136658-7863265-image-m-47_1578469746197.jpg


Soma zaidi linki hapo chini

 
Back
Top Bottom