Yule Jamaa Owner wa Zeutamu wamem-deadisha?

... ZeUtamu ni mtoto wa ndugu wa karibu sana wa Kigogo mmoja. anaweza kudedi kama kiumbe hai chochote, lakini sio kudedishwa kwa lile soo.

Sasa mbona asikiki tangia akamatwe? Unakumbuka kauli aliyoitoa mkwe.ere jana wakati akizungumzia udictator?
Alisema kama yeye angekuwa dikteta hata huyo aliosema hivyo angeogopa,na kama angekua dikteta yule aliyesema hivyo angekua ashapotea na usingemuona tena,sasa swali jamaa(zeutamu) alimdhalilisha sana kwa kutoa pic analiwa tiGO na yeye alienda hadi interpol kumtafuta na wakampata sasa mbona asikiki tena ndo wadau wanauliza au walishamdeadisha?
 
Kila mu atavuna alichopanda.
 
kudedishana kwa masuala madogo sio ishu bana. RIP kama Zeutamu amekufa kweli
 
Kama ni yule mtoto wa kigogo kule facebook yupo tele.
 
It isfunny how people could be creative in stupid things!
Normal, we ripe what we have sawn....
let him face the consequences...

 
ZeUtambu 2.0 is along he way, stay tuned...
 
Huyu ndg alithubutu,aliweza na alisonga mbele angekuwa ughaibuni jinsi web ilivyokuwa na visitor wengi ange make money ya kufa m2 kwa adverts classifed na non classifed. Kuna rafiki moja ni kibosile pale Capital Market authority alikuwa anaogopa kupigwa picha kiza ze uchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…