King Kong III nadhani hapo kwenye Bold panamhusu LissuSasa mbona asikiki tangia akamatwe? Unakumbuka kauli aliyoitoa mkwe.ere jana wakati akizungumzia udictator?
Alisema kama yeye angekuwa dikteta hata huyo aliosema hivyo angeogopa,na kama angekua dikteta yule aliyesema hivyo angekua ashapotea na usingemuona tena,sasa swali jamaa(zeutamu) alimdhalilisha sana kwa kutoa pic analiwa tiGO na yeye alienda hadi interpol kumtafuta na wakampata sasa mbona asikiki tena ndo wadau wanauliza au walishamdeadisha?
Habari Ma GT wa JF
E bwana kuna tetesi yule muanzilishi wa zeutamu blog washamdedisha,je wadau mna taarifa zozote?
Nawasilisha.
Nilisikia ni Mtoto wa Mkubwa Enzi hizo sina uhakika kama ni Le Mbebez.Mi nilikuwa najua mmiliki wa zeutamu ni Lemutuz.
Ali-Dedishwa au Yupo? Copy: W. J. MalecelaNi cousin wa le king of social network muulizeni
Duhh, kama ni kweli itakuwa ni maajabu mbona katika mahojiano yake hajawahi kuigusia kwamba aliwahi kumiliki kitu kama hicho?Nilisikia ni Mtoto wa Mkubwa Enzi hizo sina uhakika kama ni Le Mbebez.
Ha Ha Ha Ha NN kumbe alizusha tu.Kwanza ni lini mmiliki wa Ze Utamu alikamatwa? Nyani Ngabu ndiye aliyetunga story ya kukamatwa kwa ze utamu , akaanzisha thread humu ndani.Waandishi wa habari makanjanja wakainyaka humu ndani wakaipeleka kwenye magazeti yao ya siku iliyofuata.Kwa kifupi hakuna yeyote aliyekamatwa
Mi nilikuwa najua mmiliki wa zeutamu ni Lemutuz.
Ni ndugu wa karibu sana na Le MutuzHabari Ma GT wa JF
E bwana kuna tetesi yule muanzilishi wa zeutamu blog washamdedisha,je wadau mna taarifa zozote?
Nawasilisha.
Alikufa kweli ama?Ni ndugu wa karibu sana na Le Mutuz
yupo kajaa tele,sema siku hizi ni low key sana katika nchi ya malikiaMtu wa karibu wa kunipa hizo info amesafiri, but I know the guy personally, last time I saw him he was actually obese, that can be the reason behind it all.
Huyo ndg alifanya nini Mkuu.? Tudokeze wengine umri umekwenda hatuwezi kuendana na kasi ya mitandaoHa Ha Ha Ha NN kumbe alizusha tu.
Alikuwa anamiliki blog aliyoipa jina la ZE UTAMU kazi yake ilikuwa kudhalilisha watu maarufu na kupost picha zao za utupu, iwe kweli au kuzi edit, ikaja fika wakati akajisahau na kuanza kumshambuli kiongozi wa awamu ya nne kwa kumchora picha akiwa amezungukwa na kundi la mrengo wa kina camerron amechorwa akiwa mtupu watu wana "mcameroon" halafu kiongozi anachekaaaa kile kicheko chake meno yote nje. Hapo ndipo alipotafutwa na kuletwa kimya kimya mpaka sasa haijulikani kama alipewa adhabu gani maana hakuwahi kufikishwa mahakani hata mara moja.Huyo ndg alifanya nini Mkuu.? Tudokeze wengine umri umekwenda hatuwezi kuendana na kasi ya mitandao