Yule kaka aliyekuwa anatafuta mwanamke mwenye tatizo kama lake la kutoweza kumtungisha ujauzito

Yule kaka aliyekuwa anatafuta mwanamke mwenye tatizo kama lake la kutoweza kumtungisha ujauzito

gracejames

Member
Joined
Apr 18, 2017
Posts
7
Reaction score
8
Habari wapendwa,

Tafadhali yule kaka aliyekuwa anahitaji mwenza mwenye tatizo kama lake la kutoweza kumpa ujauzito naomba anitafute kama bado ajampata huyo mwanamke.
 
kama unakumbuka ID yake au thread yake inavyosema ni rahisi kumpata akaona uzi wako!
 
mwenzako alijitosa,ukadengua,ukute sasa hivi ana watoto mapacha.lol
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Jamaa mwenyewe mbona hajatoa wasifu wake, bali katoa wasifu wa mwanamke anaye mtaka tu?
Mambo kama hayo, inatakiwa mwenyewe ujivue nguo ajianike, kama ana sifa za ukidole gumba watu wazijue waamue, maana wapo.
Ama anataka mwene sifa hizo wakati yeye "ana msururu"?
Wapo wengi na wanauhitaji, lakini sifa angalau zirandane, namna ya kufarijiana wakati mmeamua kuyamalizia maisha yenu pa1.
 
Ndege wenye mbawa sawa ndio warukao pamoja ila isije ikawa mmezichoka contraceptives na withdraw method so mnatafuta aidha mbegu au shamba lisilo na rutuba!.
 
Back
Top Bottom