Jamaa mwenyewe mbona hajatoa wasifu wake, bali katoa wasifu wa mwanamke anaye mtaka tu?
Mambo kama hayo, inatakiwa mwenyewe ujivue nguo ajianike, kama ana sifa za ukidole gumba watu wazijue waamue, maana wapo.
Ama anataka mwene sifa hizo wakati yeye "ana msururu"?
Wapo wengi na wanauhitaji, lakini sifa angalau zirandane, namna ya kufarijiana wakati mmeamua kuyamalizia maisha yenu pa1.