kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Yule kijana anaejiita rais Magufuli kwa kwa kuigiza sauti ya Rais JPJM anaboa pale anapomaliza kuhutubia na kuanza kuchomoa hela hela watu kitu ambacho Rais Magufuli hafanyi hivyo kabisa.
Nadhani kama anataka kuendelea kumuigiza Rais wetu aache kudai hela viongozi ambao hawakujiandaa kuchomolewa hela. Anaweza kumuabisha kiongozi ambaye hajajiandaa kutoa hela ya kijinga Kwa njia Ile.