Labda Mkuu anadhani huyo ni Rais wa kweli! Hebu atupatie ka clip tuone jamaa anavyowachomoa viongozi vijisentiHuyo ni mchekeshaji na ndivyo anavyoishi! Au ulitaka apate wapi ugali!?
Itabidi aweke na matambala kalioni ili aende sawa na bashite,bashite ana wezere babaNawewe muige makonda upige mkwanja.
Weka video tukuelewe.
Acha wivu kijana, matatizo yako hayawezi kumwalizwa kwa kuwawekea kauzibe watu wengine...Yule kijana anaejiita rais Magufuli kwa kwa kuigiza sauti ya Rais JPJM anaboa pale anapomaliza kuhutubia na kuanza kuchomoa hela hela watu kitu ambacho Rais Magufuli hafanyi hivyo kabisa.
Nadhani kama anataka kuendelea kumuigiza Rais wetu aache kudai hela viongozi ambao hawakujiandaa kuchomolewa hela. Anaweza kumuabisha kiongozi ambaye hajajiandaa kutoa hela ya kijinga Kwa njia Ile.
alime tuHuyo ni mchekeshaji na ndivyo anavyoishi! Au ulitaka apate wapi ugali!?
WasakatongeYule kijana anaejiita rais Magufuli kwa kwa kuigiza sauti ya Rais JPJM anaboa pale anapomaliza kuhutubia na kuanza kuchomoa hela hela watu kitu ambacho Rais Magufuli hafanyi hivyo kabisa.
Nadhani kama anataka kuendelea kumuigiza Rais wetu aache kudai hela viongozi ambao hawakujiandaa kuchomolewa hela. Anaweza kumuabisha kiongozi ambaye hajajiandaa kutoa hela ya kijinga Kwa njia Ile.