Uchaguzi 2020 Yule Malkia wa nguvu SELLA JASTON MKISI hatimaye kaitikia wito wa wanawake Dodoma - Ubunge wa Viti Maalum mkoa

Environmental Security

Senior Member
Joined
May 21, 2020
Posts
181
Reaction score
261
Hatimaye malkia wa nguvu SELLA JASTON MKISI leo ameridhia wito wa wanawake dodoma kumtaka awawakilishe kwa nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoa wa dodoma baada ya kumsihi kutokana na harakati zake za kuihudumia jamii ndani ya dodoma pamoja na kukijenga chama kwa muda mrefu

Piga kazi mama, chama kinakujua na wanawake wanakuamini sasa ni zamu ya kuhudumia wanawake wa mkoa mzima

CCM imara
 
mwanamke wa nguvu achukue form ya jimbo bana.
Ili kuwahudumia wanawake kuwaletea maendeleo na kutatua changamoto zao ipasavyo, viti maalum mkoa wa dodoma vinamfaa sana
Sie tunaomuunga mkono tunalijua sana hilo (walimsihi hatimaye karidhia. Tulimtarajia hatimaye leo tumejionea wito wetu sio bure kwasasa atarajie kura zetu za kishindo)
 
hebu picha yake kwanza.
 
Umetumwa wewe au umekula mrungula....
 
ahsante mama
 
Hivi nyie muambiweje? Kabisa unaleta Uzi Kama huu bila picha? Akhhhh
 
bila picha inakua sio poa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…