Yule mama wa udongo alipotelea wapi wakuu?

FirstClass

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,100
Reaction score
1,363
Namba za mawakala hazipatikani, meseji hazijibiwi, au ndio alikusanya mikwanja akasepa na kijiji.

Tupeane ushuhuda wakuu, kama kuna yeyote aliyetumia udongo na ukamsaidia alete ushuhuda hapa, au kama mama mwenyewe yupo basi jitokeze.
 
Duniani kuna mambo eti mama wa UDONGO..............Kuwa makini sana unapotokewa na mambo haya mawili maishani mwako
1. unapokuwa na matatizo, Huzuni, Fadhaa, kudhalilishwa kupita kiasi, Maradhi
2. unapokuwa na Furaha, Pesa na Mali nyinggi, Cheo kikubwa chenye kutoa maamuzi

SHIDA NA RAHA NI MTIHANI KWENU...........
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu kumbe ulinunua kabisa? Afu haujakusaidia
Hahaha.. Sio ivyo mkuu..mim nlipanga takuwa WA mwsho kumuamn. ILA nashangaa hata cm za ma agent wke azpatkan tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…