Yule mchezaji Bora wa muda wote ,Africa ( Samuel Eto's)ametangaza kustaafu soka hakuwa na miaka 38

Yule mchezaji Bora wa muda wote ,Africa ( Samuel Eto's)ametangaza kustaafu soka hakuwa na miaka 38

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
6,716
Reaction score
12,116
Mchezaji Bora wa muda wote wa Africa Samuel Eto's ametangaza kutundika daluga huku akiwa na miaka 38 ,huyu jamaa pamoja na Rodaldinho walinifanya nimtoroke mchumba wangu usiku ,wakati mwingine hata vipindi vya dini siendi kisa tu mpira ,aisee hapana chezea etooooooo
 
Mchezaji Bora wa muda wote wa Africa Samuel Eto's ametangaza kutundika daluga huku akiwa na miaka 38 ,huyu jamaa pamoja na Rodaldinho walinifanya nimtoroke mchumba wangu usiku ,wakati mwingine hata vipindi vya dini siendi kisa tu mpira ,aisee hapana chezea etoooooooView attachment 1200673View attachment 1200675
Mchezaji bora wa muda wote kwa Africa ni Jay Jay Okocha!
 
Back
Top Bottom