Allah's Slave JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 562 Reaction score 46 Mar 20, 2012 #41 Ulikosea Kushuka ungekomaa humo humo, Ungemwambia tu unampeda kwa sauti kuUUUbwa kwani kitendo cha kutongoza si kibaya ilimradi uwe na nia njema.
Ulikosea Kushuka ungekomaa humo humo, Ungemwambia tu unampeda kwa sauti kuUUUbwa kwani kitendo cha kutongoza si kibaya ilimradi uwe na nia njema.
M Mtaftaji JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 207 Reaction score 43 Aug 30, 2012 #42 Mtambuzi said: Kumbeee...............hapa sina mtoto, yaani unajua mbinu zote hizo................! Click to expand... Damu c ndo ile ile,ila mtt naona anakua mwalim kwa baba yk.
Mtambuzi said: Kumbeee...............hapa sina mtoto, yaani unajua mbinu zote hizo................! Click to expand... Damu c ndo ile ile,ila mtt naona anakua mwalim kwa baba yk.
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,065 Reaction score 24,559 Aug 30, 2012 #43 mimi hapo pa sijui nilikuona wapi vile?hivi bado wanaume mnatongoza hivi siku hizi?ahahahhahhahahhaa umenikumbusha mbali sana!
mimi hapo pa sijui nilikuona wapi vile?hivi bado wanaume mnatongoza hivi siku hizi?ahahahhahhahahhaa umenikumbusha mbali sana!