Kosa kubwa la Abu Obaida ni pale jana alipotangaza kuwa atawachinja mateka wa Israel huku akirecord kwenye kamera hilo ni kosa la kimkakati!!!!Unatamani Sana iwe hivyo we mkaanga Sumu myahudi wa mchongo. Abuu is your nightmare keep dreaming hii nadhani ni mara ya kumi unaleta hizi taarifa Zako kuhusu Abuu, nyinyi lengo lenu ni kuua watu wasio na hatia mimedhulumu bure maisha ya raia 7 kisingizio Kuna Abu ubeida.
He is a living ghost, Mujahideen wanasoma Surat Yasin na wanakombora linaitwa Yasin 105. Tafuta habari za hio Sura Kwenye medani za kivita uatpata majibu no wonder Ton laki moja za mabomu mlizolipua Gaza 80% you killed civilians and not Hamas ask yourself why?
Hakuna kosa lolote kufanya na Wala hamjamuuaKosa kubwa la Abu Obaida ni pale jana alipotangaza kuwa atawachinja mateka wa Israel huku akirecord kwenye kamera hilo ni kosa la kimkakati!!!!
Acha afe tu maana mtu mwenyewe mikono yake imejaa damu za watu wengi wasio na hatia!!
Tayari wamepita na balaza kama lote la mawaziri huko yemen naye atafata tuView attachment 3459121
Siku huyu jamaa wa Houthi akidedi pamoja na huyo Abuu ndio ntajua IDF ni kiboko wa yote.
Keep dreaming brotherSafari hii mtajua kafa mara ngapi!!!!
Hii mara ya 7 unaleta habari hii, hakika atakua kafa sasa. Au itakua Propaganda kama habari zako nyinginezo zilizopita.Safari hii mtajua kafa mara ngapi!!!!
Ni sawa na vita ya Hezbollah uende ukaue uongozi wa nchi ya Lebanon hicho si ni kichaa? Yaani uachwe wahouth ukaue watu wanaowatumikia wananchi useme umeweza vita, mmarekani sio mjinga kuondoka red sea. Wala msaudia sio mjinga kusalimu amri baada ya miaka 8 I know who Yemenis are.Tayari wamepita na balaza kama lote la mawaziri huko yemen naye atafata tu
Msimamo wa Israel upo wazi mateka wote waachiwe kwa pamoja na hamas waondoke hapo Gaza.Wewe uko una bwabwaja humu wenzako Tel Aviv baada la balaa la Jana usiku hawana hamu wanamuandama trump amalize vita wanaona kabisa Netanyau anawaangamiza vijana wao wadogo bila huruma
********************
๐ฎ๐ฑโ๐ต๐ธ๐ต๐ธ Protests in Tel-Aviv, settlers are calling on Trump to pressure Netanyahu to accept a deal that secures the release of the "israeli" prisoners in Gaza.
@Palestine_Updates
Hakuna Kiongozi Hata mmoja wa Al Houth mliyemuua mmeua mawaziri wa Yemeni. Ambao hili suala haiwahusu na hawana uwezo wa kuwazuia Al Houth kufanya kazi Yao.Yale Yale niliyowaambia kuhusu magaidi wa Houth mkabisha leo hii wao wenyewe wamewataja mawaziri zaidi ya 10 wameangamizwa sasa ni zamu ya huyu Gaidi matnia bias tu wenyewe!!
Kumbe wewe ni mjinga kiasi hicho? Hata hujui vita inaendeshwa na wanasiasa hao ndiyo wanasema rusheni makombala Tel Aviv na hao ndiyo wanatakiwa wafe!!!Ni sawa na vita ya Hezbollah uende ukaue uongozi wa nchi ya Lebanon hicho si ni kichaa? Yaani uachwe wahouth ukaue watu wanaowatumikia wananchi useme umeweza vita, mmarekani sio mjinga kuondoka red sea. Wala msaudia sio mjinga kusalimu amri baada ya miaka 8 I know who Yemenis are.