proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Maisha mengi tuliyonayo yalianza kama picha inayojengeka akilini. Hakuna mwanadamu asiyependa vitu vizuri.
Ushindani na matamanio ya mwanadamu yanazua mambo mengi. Pale unajaribu hili na lile ili kupata vizuri halafu ukavikosa ndipo akili inapoanza kuchanganyikiwa.
Zipo nyuzi nyingi za kukata tamaa. Hawa ndio walio tuandikia kupitia jukwaani, je wale walioshindwa ni wangapi?
Ikifika mahali acha ushindani ili kuepuka shida ya kiafya na kiroho pia. Kila mtu ana namna yake alivyo.....wengine koneksheni, wengine wizi, wengine bahati japo ni wachache sana, wengine urithi.
Ewe mtu uliyepewa oksijeni ya bure 𝐔𝐬𝐢𝐬𝐡𝐢𝐤𝐰𝐞 𝐬𝐨𝐧𝐨𝐧𝐚 𝐚𝐮 𝐤𝐮𝐣𝐢𝐮𝐚 𝐤𝐢𝐬𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐚𝐮 𝐮𝐠𝐮𝐦𝐮 𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚.
watu wengi hasa vijana kwa sasa hatuna amani vichwani mwetu kisa kikuu kikiwa ugumu wa maisha na mapenzi, ambapo ubongo ukizidiwa unaupa moyo shida ndio unaanza kupata magonjwa ya ajabu ajabu presha, sonona, msongo n.k
Matukio ya mauaji, ulawiti, ubakaji ni mengi sana kisa vichwa vimevurugwa watu hawaogopi wanaona liwalo na liwe.
Sina uhakika sana kati ya mwanaume na mwanamke ni yupi anayeteseka sana dunia ya utafutaji na mapenzi, 𝐥𝐚𝐤𝐢𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐰𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐬𝐚𝐡𝐚𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐮𝐥𝐢𝐦𝐰𝐞𝐧𝐠𝐮 𝐰𝐚 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐬𝐢𝐬𝐢 𝐧𝐢 𝐝𝐡𝐚𝐡𝐚𝐛𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐬𝐚𝐛𝐚𝐛𝐮 𝐡𝐮𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐢𝐮𝐦𝐛𝐞 𝐡𝐢𝐤𝐢 𝐤𝐢𝐤𝐚𝐩𝐨𝐭𝐞𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐬𝐢 hadi kuja kushtuka dunia itabaki kutafutwa kwa bunduki na kutekwa na wanawake kwa sababu uadimu wetu.
Wanawake saba watamng'ang'ania mwanaume mmoja wakitamani kuitwa kwa jina lake. Wenye bible tafuteni nimesahau kifungu.