Yule mzee hakukosea, hawa wana kumbe kweli ni "mbumbumbu"

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Ukitaka ujue kuwa hawa ngada aka makolo ni zero brain (NGUMBARU) angalia kauli zao. Toka yule msemaji 'mweupe wa ngozi' awaaminishe kuwa Yanga kuna wenye IQ kubwa wawili nao wameshikilia hapohapo

Na umbumbumbu wao wakashindwa kuelewa kuwa bora akili mbili zinaweza kufanya jambo kuliko wote kuwa "MBU-MBU-MBU" na kuishia kuilaumu yanga na mafanikio yake.

Bado wameshikiwa akili zao mgando na yule mzungu ambaye akili mbili zilimhamisha toka kuwa ngumbaru na kuja kuifaidisha yanga kimkakati kwa kuwa waliona ktk lile kundi peke yake ndo alikuwa na uafadhali kwenye uelewa wa soka kuliko zile kolo nyingine.
 
Hakika sisi ndio gongowazi wenye nchi
img_1_1730588381369_1 (1).jpg
 
Ukitaka ujue kuwa hawa ngada aka makolo ni zero brain (NGUMBARU) angalia kauli zao. Toka yule msemaji 'mweupe wa ngozi' awaaminishe kuwa Yanga kuna wenye IQ kubwa wawili nao wameshikilia hapohapo

Na umbumbumbu wao wakashindwa kuelewa kuwa bora akili mbili zinaweza kufanya jambo kuliko wote kuwa "MBU-MBU-MBU" na kuishia kuilaumu yanga na mafanikio yake.

Bado wameshikiwa akili zao mgando na yule mzungu ambaye akili mbili zilimhamisha toka kuwa ngumbaru na kuja kuifaidisha yanga kimkakati kwa kuwa waliona ktk lile kundi peke yake ndo alikuwa na uafadhali kwenye uelewa wa soka kuliko zile kolo nyingine.
Sasa umfukuze kocha aliepoteza mechi 2 ulete aliepoteza mechi 4 na droo mbili kweli wewe una akili.
 
Mtu kawaambia huko wenye akili ni wawili na bado mkamchukua ili waongezeke watatu inaonyesha wazi hamjitambui
 
Ukitaka ujue kuwa hawa ngada aka makolo ni zero brain (NGUMBARU) angalia kauli zao. Toka yule msemaji 'mweupe wa ngozi' awaaminishe kuwa Yanga kuna wenye IQ kubwa wawili nao wameshikilia hapohapo

Na umbumbumbu wao wakashindwa kuelewa kuwa bora akili mbili zinaweza kufanya jambo kuliko wote kuwa "MBU-MBU-MBU" na kuishia kuilaumu yanga na mafanikio yake.

Bado wameshikiwa akili zao mgando na yule mzungu ambaye akili mbili zilimhamisha toka kuwa ngumbaru na kuja kuifaidisha yanga kimkakati kwa kuwa waliona ktk lile kundi peke yake ndo alikuwa na uafadhali kwenye uelewa wa soka kuliko zile kolo nyingine.
mi wale nawaitaga mashoshooo
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums-751034406.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.View attachment 3159215
Huo mwiko huko nyuma unawatesa sana UTO🤣🤣
 
Back
Top Bottom