Sawasawa mfalme zumaridi, zuwena uliyechangamka!Hakika sisi ndio gongowazi wenye nchi View attachment 3157480
Nani na nani😂😁Wenye akili utopoloni ni wawili tu
Unatia huruma ☹️Mpaka wanatia kinyaa... Phuuuh!
Sasa umfukuze kocha aliepoteza mechi 2 ulete aliepoteza mechi 4 na droo mbili kweli wewe una akili.Ukitaka ujue kuwa hawa ngada aka makolo ni zero brain (NGUMBARU) angalia kauli zao. Toka yule msemaji 'mweupe wa ngozi' awaaminishe kuwa Yanga kuna wenye IQ kubwa wawili nao wameshikilia hapohapo
Na umbumbumbu wao wakashindwa kuelewa kuwa bora akili mbili zinaweza kufanya jambo kuliko wote kuwa "MBU-MBU-MBU" na kuishia kuilaumu yanga na mafanikio yake.
Bado wameshikiwa akili zao mgando na yule mzungu ambaye akili mbili zilimhamisha toka kuwa ngumbaru na kuja kuifaidisha yanga kimkakati kwa kuwa waliona ktk lile kundi peke yake ndo alikuwa na uafadhali kwenye uelewa wa soka kuliko zile kolo nyingine.
mi wale nawaitaga mashoshoooUkitaka ujue kuwa hawa ngada aka makolo ni zero brain (NGUMBARU) angalia kauli zao. Toka yule msemaji 'mweupe wa ngozi' awaaminishe kuwa Yanga kuna wenye IQ kubwa wawili nao wameshikilia hapohapo
Na umbumbumbu wao wakashindwa kuelewa kuwa bora akili mbili zinaweza kufanya jambo kuliko wote kuwa "MBU-MBU-MBU" na kuishia kuilaumu yanga na mafanikio yake.
Bado wameshikiwa akili zao mgando na yule mzungu ambaye akili mbili zilimhamisha toka kuwa ngumbaru na kuja kuifaidisha yanga kimkakati kwa kuwa waliona ktk lile kundi peke yake ndo alikuwa na uafadhali kwenye uelewa wa soka kuliko zile kolo nyingine.
Huo mwiko huko nyuma unawatesa sana UTO🤣🤣Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.View attachment 3159215