Yule mzee wa IOC kuna kitu muhimu alìongea ambacho hata Chadema walitakiwa kusupport

Yule mzee wa IOC kuna kitu muhimu alìongea ambacho hata Chadema walitakiwa kusupport

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Naam ndg zangu katika Imaaan.
Japo kuwa alionekana kama mtu wa ajabu lakini gwiji ĺile la siasa za Chadema alisema masaa machache tu baada ya Zanzibar kusaini mktaba wa kujiunga na IOC ,waarabu wataanza kumwaga matrilioni ya shilingi tayari kuanza ujenzi mpya wa bandari kubwa duniani ambayo itakuwa pande za Unguja.
Wakuu hili suala mbona kama limekaa vizuri sana kwa kila upande, itikadi, chama na hata dini.
Maendeleo kwanza mambo mengine baadae.
 
Haya maujinga kama sio maupumbavu kayasimulie msikitini ama kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Naam ndg zangu katika Imaaan.
Japo kuwa alionekana kama mtu wa ajabu lakini gwiji ĺile la siasa za Chadema alisema masaa machache tu baada ya Zanzibar kusaini mktaba wa kujiunga na IOC ,waarabu wataanza kumwaga matrilioni ya shilingi tayari kuanza ujenzi mpya wa bandari kubwa duniani ambayo itakuwa pande za Unguja.
Wakuu hili suala mbona kama limekaa vizuri sana kwa kila upande, itikadi, chama na hata dini.
Maendeleo kwanza mambo mengine baadae.
Mbona Uganda ilijiunga na OIC kwa mategemeo makubwa lkn hamna CHOCHOTE zaidi ya vikundi vya uasi
 
Wanakubal waislamic......japo mim Christmas day
 
OIC wala haina uhusiano na dini. Ni umoja wenye manufaa za kiuchumi zaidi. Kimsingi binafsi sione sababu za Tanzania kutojiunga na OIC.
 
Back
Top Bottom