Mwaka huu kashine kinions wake kelele kbao,juzi juzi tu misimu iliopita mlitia huruma.
Cr7 is better,PELE the BEST
Sent using Brain
Mwaka huu kashine kinions wake kelele kbao,juzi juzi tu misimu iliopita mlitia huruma.
Cr7 is better,PELE the BEST
Sent using Brain
Asante ila inauma sana! Daah, kule Moro nako tayari kimenuka!Pole baby
Messi huwa anafanya mpira uonekane ni rahisi sana
Im just handling busy schedule best... Nimefurahi kukuona makiseo.
Same Here... Nakupenda Upeo.Im just handling busy schedule best... Nimefurahi kukuona makiseo.
Nakupenda!
Angebeba na mara hii 4 sasa kama the besţCr 7 the best one and only
Hilo kombe analotafuta Messi. Cr7 kabeba Mara 3 mfululizo,mwambie Messi Kama ataweza
Bila kusahau Jana Kama kawaida katia kambani
Sent using Jamii Forums mobile app
Cr 7 the best one and only
Hilo kombe analotafuta Messi. Cr7 kabeba Mara 3 mfululizo,mwambie Messi Kama ataweza
Bila kusahau Jana Kama kawaida katia kambani
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hio sijui munaitaga BALON D'O
Messi alichukua mara 4 mfululizo na kuweka world record
Mulize Ronaldo
Kombe ni la timu nzima
Balon d 'O ya mchezaji mmoja [emoji23][emoji23]