M Mwanaweja JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 3,575 Reaction score 526 May 7, 2012 #21 DNA ninavyoona ni advanced kwa kuwa before mababu zetu walikuwa wanatumia sana hata alama za viganjani pamoja na damu i mean blood group lakini siku hizi naona baada ya science and technology kuwa juu DAN naon ni bora zaidi na inauhakika zaidi
DNA ninavyoona ni advanced kwa kuwa before mababu zetu walikuwa wanatumia sana hata alama za viganjani pamoja na damu i mean blood group lakini siku hizi naona baada ya science and technology kuwa juu DAN naon ni bora zaidi na inauhakika zaidi