Yule ni robot au ni ile midoli inakaa nje ya maduka ya nguo.

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191
Mtu unachukua mdoli anawekwa nje ya maduka ya nguo unamvalisha kilemba na kitenge unakuja kutuambia ni robot, robot anatoa mkono utasema excavator ama grader ya kubebea mchanga.

Hivi mtu kweli unaandaa hafla ya kiserikali kabisa watu wakashangae mdoli.

Hivi mnashindana na Elon Musk ama? Kwenye robot mmefeli ngoja tusubiri satellite kama haijaporomoka juu ya bati la mtu basi ni Mungu tu.

Sijataja mtu tafadhali, kuna chawa wataanza kutokwa povu.
 
Tuna hangaika kutatua matatizo ya ulimwengu wa kwanza, wakati tupo ulimwengu wa tatu! Maroboti ya nini kwenye kilimo wakati watu hawana ajira?
 
Screenshot_20240517-051131.png
Screenshot_20240513-223041.png
 
Huyo robot ni Mali ya nani?wamemkodi?wamemnunua?bei gani?huku ni kupeana hasara
 
Back
Top Bottom