100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Tuna hangaika kutatua matatizo ya ulimwengu wa kwanza, wakati tupo ulimwengu wa tatu! Maroboti ya nini kwenye kilimo wakati watu hawana ajira?Mtu unachukua mdoli anawekwa nje ya maduka ya nguo unamvalisha kilemba na kitenge unakuja kutuambia ni robot, robot anatoa mkono utasema excavator ama grader ya kubebea mchanga.
Hivi mtu kweli unaandaa hafla ya kiserikali kabisa watu wakashangae mdoli.
Hivi mnashindana na Elon Musk ama? Kwenye robot mmefeli ngoja tusubiri satellite kama haijaporomoka juu ya bati la mtu basi ni Mungu tu.
Sijataja mtu tafadhali, kuna chawa wataanza kutokwa povu.
namwona Eunice ana chuchu saa 6 kasorobo