Yule paka aliyeokotwa kwenye daladala Buza ni mimi

Sasa kilichotokea ndani ya bus, sijui paka kapita chini ya dada mwenye kutikisa makalio umejuaje
 
Kwenye hatari mzee anapona kabisa pressure yake
 
Kwenye hatari wadhaifu ndiyo huwa wakwanza kukimbia, kuna siku kipanya (gari) kilishika moto ilishika moto mtu wakwanza kutoka alikuwa bonge la mama huwezi amini, tulipotoka tulishangaa nakucheka eti mlizani mtanipita weee?
 
Reaction ya mwili kwenye hatari inatofautiana. Still bado haiondoi uwezekano wa mtu kushtuka na kupata tatizo pale anaposhtuliwa ghafla.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
For this i need to apologize...Sikuwaza haya..Thanks sana[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hua huna akili ya kuwaza vitu vya aina hiyo wewe,unachokitanguliza mbele ni kutafuta sifa za kijinga na kuwaaminisha watu wako eti wewe ni mchawi! cha ajabu katika karne hii nao wanakuamini kwa mambo yakufikirika tu!

Nakushangaa hapa unajisifia ujinga.
 
Reaction ya mwili kwenye hatari inatofautiana. Still bado haiondoi uwezekano wa mtu kushtuka na kupata tatizo pale anaposhtuliwa ghafla.
Nadhani ufahamu huchagua cha muhimu kwanza, maumivu au mshtuko...!!!
 
Nimevutiwa na tittle nikajua wewe ndo paka mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…