Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Thubutuu..........Ningemtafuta tena, ningelazimika kuiweka familia reheni.........Mbona nilibadilisha hadi namba ya simu. Mwanamke alikuwa nuksi kweli yule!
Mkuu!Kwanza ni mchana, halafu katikati ya mji, hoteli yenyewe nyota 5, wazo la kwake (inawezekana kufika ilibidi uulizie haswaa), ukajificha (hukutaka hata kujua atafikaje) na bado unakafikiri utagonga mzigo? Mbafu kabisa otherwise hii story imechagizwa na madhara ya mning'nio!
Aliyekwambia ilikuwa ni mchana ninani?Kwanza ni mchana, halafu katikati ya mji, hoteli yenyewe nyota 5, wazo la kwake (inawezekana kufika ilibidi uulizie haswaa), ukajificha (hukutaka hata kujua atafikaje) na bado unakafikiri utagonga mzigo? Mbafu kabisa otherwise hii story imechagizwa na madhara ya mning'nio!
una visa wewe.siku nyengine utakavyoviona barabarani,wewe vimezee mate tu,kisha endelea na safari zakoHivi kweli unataka niamini kuwa alivyonitosa ni heri yangu wakati kanichuna kifedhuli na kuingia mitini bila hata kuonja utukufu wake! Kwa kweli amenionea sana, lakini Mungu atanilipia.....................
Hilo jingine unamkuta dada'ko wa kilokole.Nitashuka kwenye hilo daladala na kusubiri daladala lingine...........Sitajisikia vizuri kupanda basi moja na ibilisi yule.........!