Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii ina engine nne ipo moja inatuaga mara moja moja kwenye uwanja wetu in engine sita tatu kila upandeUnamaanisha hii pipa Airbus A380-800..?
View attachment 1088977
Engine sita ndege ya abiria au? Sijawah one ndeege ya Emirates yenye Engine sita aiseeee
hauoni hapo kulia ingini tatu kushoto unaona mbili moja imezingwa nma gari hapo chiniMbona Engine sita hazijatimia? then hiyo ni emirate? ndege ya abiria au cargo?
Na wenye mabasi waanze kubadilika watuletee
Je barabara zetu zinaweza kuhimili mabus ya muundo huo,je tanroad na sumatra wanaruhusu mabus ya muundo huwo?.
Usishangae likapita barabarani likaondoka na nyaya ya umemeJe barabara zetu zinaweza kuhimili mabus ya muundo huo,je tanroad na sumatra wanaruhusu mabus ya muundo huwo?.
Usishangae likapita barabarani likaondoka na nyaya ya umeme
Ile ni ya mizigo..inaitwa Antonov 225.hii
hii ina engine nne ipo moja inatuaga mara moja moja kwenye uwanja wetu in engine sita tatu kila upande
Mapokezi yake yawe kama haya