Tetesi: Yumkini Boeing 787 ijayo ikawa Dash 9 (Boeing Dreamliner 787-9

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Taarifa za kunyapia nyapia nilizopata ni kuwa uenda Tanzania ikanunua ndege kubwa zaidi ya Dreamliner 787-8 ambayo ilipokelewa mwaka jana na Mh Rais Magufuli, Tetesi zinadai kuwa ndege ijayo aina ya Boeing Dreamliner itakuwa ni 787-9
 
ile fly emirate ya engine sita inaitwaje kwanini tusinunue hilo chombo
 
Na wenye mabasi waanze kubadilika watuletee


 
Je barabara zetu zinaweza kuhimili mabus ya muundo huo,je tanroad na sumatra wanaruhusu mabus ya muundo huwo?.


Wanatakiwa kuanza kubadilika waendane na advancement ya teknolojia, si unaona thmeingia kwenye SGR na dreamliners, likewise barabarani kunahitaji mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…