Wakituzimia wanazimia, akili zao hazifanyi kazi. Wanaposema watakunywa sumu huwa hawatanii.
Ivi ni yupi huwa kichaa zaidi?, au yupi ni mvumilivu ??
Demu anaye mzimikia mwanaume au mwanaume aliye mzimikia demu.
Mimi binafsi naona wanaume ni wavumilivu kuliko wanawake. Mwanamke akikuzimikia utakoma.
Anaweza kuvua nguo zake zote ili mradi tuu umkubalie.
Tychicus
Duh..............shouldnt this then, have been wanawake ni vichaa zaidi kuliko wanaume? Or how does "Mwanamke anayevua nguo zake ili tu akubaliwe" support the premise , "wanaume ni wavumilivu kuliko wanamke",??Nauliza maana for a min I was confused........................Anyways, back to the topic mimi I beg to differ , I believe "uvumilivu" or "ukichaa" wa mapenzi is dependant on a person rather than gender.
hahahhaaaaaaaaaa mweh!Wakituzimia wanazimia, akili zao hazifanyi kazi. Wanaposema watakunywa sumu huwa hawatanii.
Kweli mkuu... Na usiombe akutake wakati una mke, halafu wewe humtaki... Sms za mapenzi usiku wa manane ili aharibumwanamke akikutaka ni noma