Yupi anafaa kuwa wifi yangu?

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi anamfaa ndugu yangu?
 
Wote wawili ni vimeo, atafute wasichana wengine.

je is there any perfect person existing under the sun? Kila mtu ana tabia zake mbaya, tukisema aendelee na kurukaruka ataukwaa mdudu na pia kuna uwezekano mkubwa akapata msichana wa hovyo kuliko hawa.
 
Ambaye mdogo wako anampenda na atakayemuoa, period.
 
Reactions: Mbu
we nazjaz nawe, sa kama unajua hakuna mkamilifu chini ya jua kwa nini umeleta hii sred?? Unataka tukushauri nini wakati majibu tayari unayo mwenyewe?? Na huyo wifi yako mwenye bwana pembeni mpaka wewe unajua na hujachukua hatua tukueleweje?? Unaifurahia hiyo hali jamani?? Mwambie mdogo wako atulie, atapata mke mwema! Na yeye aache kujifanya kidume saaaana. AIDS z around au halijui hilo??
je is there any perfect person existing under the sun? Kila mtu ana tabia zake mbaya, tukisema aendelee na kurukaruka ataukwaa mdudu na pia kuna uwezekano mkubwa akapata msichana wa hovyo kuliko hawa.
 
Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi anamfaa ndugu yangu?

ulevi noooma, mwambie achukue huyo mwingine mboka kaka yako nae ana wawili ?
 
Amuoe mwenye bwana sababu wote wanacheza game moja wakioana wataacha
 
Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi anamfaa ndugu yangu?

labda kaka yako ndo yuko pembeni kwa taarifa yako.
 
Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi anamfaa ndugu yangu?

amuoe huyo mwenye bwana,kwani na yeye anawawili ili wote wawe wanakuwa na away games, akimuoa mlevi atakuwa amempunja. haki kwa wote
 
Mdogo wangu anahangaika, anataka kuoa. Ana mabinti wawili hawajuani, ila mie nawajua wote. Mmoja ni mlevi kupindukia na mwingine ana bwana pembeni (kaka yangu hajui hili). Je kati ya hawa yupi anamfaa ndugu yangu?

Post zingine unajitukana mwenyewe tu.
Wachafu wote.
Kuanzia mdogo mtu, vicheche vyake na dada mwenyewe
 
ukiwa kicheche kwa hiari yako na wala sio sex slave mbona poa tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…