Ktk mahusiano ya kimapenzi ni yupi anatakiwa kuwa mstari wa mbele ktk swala zima la mawasiliano yaani kumkumbuka mwenzi iwe ktk kupiga simu au kutuma sms. Make zipo kesi nyingi kila mmoja akimnyoshea kidore mwenzi kwamba hamkumbuki kumpigia simu wa kumtumia sms wa yeye hafanyi hivyo. Tusaidiane ktk hili"
samahani wakubwa....hivi kipindi kile hakuna mambo ya masimu simu mlikuwa mnakeep up vipi katika suala zima la mawasiliano?