Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Yikpe kura zote kwakeLigi kuu ya Soka nchini inafikia ukingoni, mchzaji gani anapaswa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu kwa ligi kuu ya Vodacom?
Karibuni kwa maoni yenu...
Top 3 Haji Ugando, Reliant Lusajo na Clatous Chama.Ligi kuu ya Soka nchini inafikia ukingoni, mchzaji gani anapaswa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu kwa ligi kuu ya Vodacom?
Karibuni kwa maoni yenu...
Huyu Ugando anastahili kweli mkuu???Top 3 Haji Ugando, Reliant Lusajo na Clatous Chama.
Yeyote kati ya hao anastahili
Kwa performance ya msimu huu ya Coastal kafanya vizuri sanaHuyu Ugando anastahili kweli mkuu???
Yikpe kura zote kwake
Mwamba wa Lusaka
Tripple C na ataichukua
Top 3 Haji Ugando, Reliant Lusajo na Clatous Chama.
Yeyote kati ya hao anastahili
Aisee kapombe ni first one 2.Chama 3.Lucas kikoti 4.waziri junior 5.Razack Abel orange wa namungo
Nilimsahau jina tu hivyo kwenye list yangu muondoe Haji Ugando umuweke Lucas KikotiVipi kuhusu Lucas Kikoti