Yupi bora kati ya hawa wanawake/wasichana

zindunaaa

New Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Poleni na majukumu. Ni mwanamke /msichana yupi anavumilika kati ya mwanamke /msichana ambaye ni mchafu au ambaye hajui kupika?
 
Tabia mbaya ni mbaya. Mbadala wa tabia ni tabia nzuri sio tabia mbaya nyingine. Hence hakuna anayevumilika kati ya hao
 
kizuri hakikosi kasoro na chenye kasoro hakikosi uzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…