chloe.obrain
JF-Expert Member
- Feb 25, 2010
- 391
- 21
kuna wakaka wawili aged between 30-35yrs old, mmoja yupo home na wazazi wake yaani yupo chini ya uangalizi wa wazazi, mwingine anajitegemea,anaishi peke yake, wote wanafanya kazi yenye kipato kizuri tu.
yupi anaweza kutunza na kulea familia yake endapo akiamua kuoa?
Let's say wanafanana kwa baadhi ya tabia mfano kumcha Mungu, si walevi, wanajali, wana huruma ........n.k.
tujadili plz!
Hapo inategemeana na hao watu kuhusu suala zima la malezi,unaweza kusema anayekaa nyumbani na familia yake hawezi ila inawezekana kabisa kuwa ndiye akawa nguzo kuu katika familia yake kwa kuiendesha familia nzima ikiwa ni pamoja na wazazi wake,na kwa upande mwingine inawezekana huyu akaaye nyumbani na wazazi akawa ni mtu aliyejibweteka na kutokuwa na uwezo wa kulea familia na analelewa tu hapo nyumbani.kuna wakaka wawili aged between 30-35yrs old, mmoja yupo home na wazazi wake yaani yupo chini ya uangalizi wa wazazi, mwingine anajitegemea,anaishi peke yake, wote wanafanya kazi yenye kipato kizuri tu.
yupi anaweza kutunza na kulea familia yake endapo akiamua kuoa?
Let's say wanafanana kwa baadhi ya tabia mfano kumcha Mungu, si walevi, wanajali, wana huruma ........n.k.
tujadili plz!
As a man u need to make a name for urself.... ability to face life huddles makes u a better person and will have a senese of responsibility. Getting old in ur father's house cripples and dwarfs ur abilities!!!:rant: