Yupi humchezea au kumnajisi mwenzie?

Inategemea,
yeyote kati ya she/he anaweza akamfanya hvyo mwenzie.
yule wa kwanza kuamua kuvunja uhusiano ndo kamnajc mwenzie.
 
Ikiwa kuchezewa huko kuna athari za aiana moja tu na kwa uapane mmoja tu?
 
Hivi ni nani ambaye ana haki ya kumgeuzia mwenzie kibao baada ya kujamiiana kwa makubaliano, lakini iwapo kuna jambo hawakuafikiana baada ya tendo anayo haki ya kwenda kwenye vyombo vya sheria na kudai kwamba amebakwa, na akawa na haki ya kusikilizwa....................hivi ni mwanamke au ni mwanaume..........?
 
Wanachezea kitanda

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…