Yupi kati ya hawa anaweza kukufanya ukaiona ndoa yako chungu, SHEMEJI/WIFI?

Yupi kati ya hawa anaweza kukufanya ukaiona ndoa yako chungu, SHEMEJI/WIFI?

GREAT NAME

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
1,078
Reaction score
1,718
Hamjambo,mambo vipi,shkamooni,
Moja kwa moja kwenye #mada,eti katika #ndoa ukiwa na
#mawifi au #mashemenga au #wote kwa kwa pamoja watakao kufanya uanze kuona #ndoa tamu kama #mwarobaini kwa #vichokanyoko vyao?
nawasilisha #waheshimiwa.
 
Dogo nenda shule aisee. Wazazi wako wanapata shida sana kukutafutia school fees
 
hivi ulishamaliza kusoma pale shule ya msingi vijito viwili?
 
Kwa uandishi wako tu,nadhani shemeji yako tu utakua unampa tabu saana dogo!
 
Hakuna atakayeninyima raha kwani wamenioa wao!!!,labda mwenyewe ndo anikatae naye akinipiga Chini maisha yanaendelea bado.
 
Back
Top Bottom