Yupi kati ya mama na baba ndiye muanzilishi wa uhai?

Mleta mada unataka kukufuru kwa kutaka kuwapa wanadamu UTUKUFU wa Mungu??????

take care!
 
Weka background/ context ili ujibiwe vizuri. Sema nini kimepelekea wewe kuuliza ili swali hapa. Mfano umebishana na mkeo kuwa nani kati yetu ame-play role kubwa kuleta mtoto wenu. Au umesikia kanisani au msikitini. Au umesoma kwenye scholarly journal na kukutana mabishano juu ya principles za reproduction. Au ni ndoto yako tu = opinion. Au ni philosophy ya mwanzo wa mwanadamu.
 
Kibinadamu = BABA.

Kiimani = MUNGU
 
Baba anachangia 50% na Mama 50%............wote kwa pamoja ndio waanzilishi wa uhai.
 
Hakuna jibu hapo, vp kuhusu wale ambao hawajazaa
 
Spermatozoa ina sifa ya kitu HAI ( ukiingalia kwenye darubini ) inatembea.inaweza penya sehemu nyembamba sana,
Ovum haina sifa za ujao...Ni km ua zuri sana.
 

Ukilitazama jambo hili from both angles mkuu!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…